WAKATI WA NOEL
147
Wokovu No 1051 Wakati wa noel
Nafika kwenye hori :/:
Alipolala Yesu,
Maskini, mtulivu :/:
2 Mwokozi wangu mwema,
Kwa pendo ulifika, :/:
Nitoke zambi zangu,
nipate kuwa wako. :/:
3 Nakuhitaji, Yesu,
Rafiki wako watoto :/:
Sitaki Kuumiza Kwa
zambi Wewe tena :/:
4 Nitashukuru Yesu
Milele na milele :/:
Maana Alifika
Kutuokoa sisi :/: