NIPE SAA MOJA NAWE YESU
146
Nipe saa moja nawe YesuNikichoka huku
duniani ! Hata
nikiona vita kali,
Wanistarehesha siku
zote.
Nipe saa moja
nawe Yesu, Kwani
giza iko duniani!
Natamani
kukukaribia, Kusikia
Neno lako zuri.
2 Nipe saa moja
naye Yesu Katika
jaribu na taabu!
U makimbilio
yangu mema Katika
hatari na ghasia.
3 Nipe saa moja nawe
Yesu Uliyechukuwa
zambi zangu.
Ninataka kueleza
yote, Kwani
unanifahamu sana.