FANYIA MUNGU KAZI
139
Wokovu No 1861 Fanyia Mungu kazi
Mbio usiku waja!
Mtumikie Mungu Siku
zako zote! Anza
mapema sana, Dumu
mchana kutwa! Mbio
usiku waja,
Kazi itakwisha.
2 Fanyia Mungu kazi
Kama kungali jua,
Usipoteze bure Siku
zako huku! Uyatimize
yote Bila kukosa
neno! Mbio usiku
waja, Kazi itakwisha.
3 Fanyia Mungu kazi,
Sasa yapita mbio!
Fanya bidii sana
Kuokoa ndugu!
Mtumikie Mungu Kwa
nguvu yako yote!
Mbiyo usiku waja,
Kazi itakwisha.