YESU NI FURAHA YANGU
133
Wokovu No 1211 Yesu ni furuha yangu
Amejaa pendo kweli.
Anaweza kusimika
Kila mwenye uzaifu.
Ananipa ujasiri,
Nguvu, raha na faraja.
Hata nikionja kufa,
Yesu ni Mchunga wangu.
2 Nimefungwa na Mwokozi
Kwa kifungo cha
upendo, Hata kufa
hakuwezi Kunitenga
naye Yesu. Mimi wake
siku zote, Ninataka
kumutii. Kwa neema
nimepona,
Nisitumikie zambi.
3 Kwa mikono ya upendo
Ninakumbatiwa naye.
Sitaweza kutafsiri
Pendo lake kubwa
kwangu. Napokea
nguvu yake, Yanijaza
moyo wangu. Yesu
ananiongoza Katika
safari yangu.