KUTESWA KWAKE YESU
123
.1 Kuteswa kwake Yesu,
Kunaleta wokovuu,
Si hofuu kumwimbia
pote niendapo.
Aliyeniokoa :/:
Niokoa ni Yesu;
Aliyevumilia :/:
Vumilia mateso
Aliye mwanga damu :/:
Mwanga damu mutini
ndiye Bwana wangu (X2)
2 Kwa kunipenda mimi
akabambwa akafa,
mateso na zambi
zimeondoshwa
kwake Mwokozi.
3 Oh! Oh! Oh!
Nimeoshwa na damu
ya damani, Mateso
na zambi zimeondoshwa
kwa Mwokozi.