SIKU MOJA KATIKA NJIA YA, DAMASIKI
122
.1 Siku moja katika
njia ya, damasiki
Saulo, Aliona, sawa
na mwangaza mukubwa
mbele yake yake
Saulo, Akaanguka.
Ewee (X2) Saulo
Saulo, kwa nini
umenitesa mimi,
Bwana wako, Na
kuteketeza makanisa
Mungu Baba,
bila huruma (X2)
2 Saulo akasema
nifanye nini
sikujuee (Yesu aka)
Yesu akasema Nitakufanya
kuwa mutumwa wanguu.
3 Wakamupeleka Saulo
hata Damasiki (alikuwa)
siku tatu pasipo
kuona, kula,
bila kunywaa.