'LICHUKUE JINA YESU
11
.1 'Lichuke jina Yesu
ku pahali pote pia.
Ni furaha na faraja,
'Lichukue uendapo.
Jina kubwa, jina nzuri,
La matumaini yetu.
Jina kubwa, jina nzuri,
La furaha ya milele.
2 'Lichukuwe jina Yesu,
ujaribiwapo nguvu.
Ni mulinzi kama ngabo,
'Lichukue uendapo.
3 'Lichukue jina Yesu,
Hata kazi zako zote.
La kutia moyo kweli,
uzitimilize sana.
4 'Lichukue jina Yesu,
Kwake Mungu uombapo.
Nguvu zake z’avishinda,
Vizuizo vyote pia.
5 'Lichukue jina Yesu,
Ku bonde la mauti.
Lile litakutuliza,
Utakapokatiliza.