LO ! NURU SASA INAFIKA
12
.1 Lo! Nuru sasa inafika, Giza
la Shetani l’akimbia mbio.
Habari iko, U tayari ?
Yesu aja upesi.
Na nuru yetu sasa
ni Bwana Yesu peke.
Habari inafika kwa
watu wote leo. Ni
neno la furaha, matumaini
yetu, Yesu aja upesi.
2 Vizazi vingi vimefungwa
katika utumwa, minyororo
nguvu. Uhuru ni kwa Bwana
Yesu. Yesu aja upesi.
3 Na watu wanapoamuka.
Nuru ya Injili i'afukuza giza.
Tutatwaliwa kwake mbingu.
Yesu aja upesi.