KITAMBO BADO
143
Wokovu No 2621 Kitambo bado Vita
itaisha, Kitambo,
na zoruba itapoa.
Na tena nitalaza
kichwa changu
Mbavuni mwake
anayenipenda. :/:
Nitaziona
raha na amani,
Mbinguni
hazitakuwa zambi. :/:
2 Kitambo bado-roho
yaumizwa, Kitambo
katika usiku huku.
Machozi nina’toka
mara nyingi Sababu
Sijaona bado Yesu. :/:
Lakini asubui
ya milele
Huko mbinguni
sitalia tena. :/:
3 Kitambo bado-ya kuchoka
huku, Kitambo-tena
nitaona Yesu. Na
huru mbali ya
hatari zote
Nitastarehe
mikononi mwake. :/:
Uvuli wote
utaondolewa
Kwa nuru huko
kamilifu kweli. :/:
4 Mateso yangu
hayazuru tena,
Nitasahau yote
kwake Yesu
Nikisumbuka muda
duniani, Mbinguni
sitaona shida,
kufa. :/: Na
Mungu atavuta kila
chozi, Ataondoa
maumivu yote. :/: