MUNGU WANGU MKUU
137
Wokovu No 145
1 Mungu wangu mkuu
Wanijaza Mwenyewe,
Na uzima u katika
Wewe. Ni raha
moyoni Na amani
halisi, Ninaishi
katika upendo.
 
2 Sasa ninakusifu
Wewe, Yesu Mwokozi,
Unakaa rohoni daima.
Kila ‘nachohitaji
Wanijaza kwa pendo.
Wewe yote, na
mimi si kitu.
 
3 Jina lako ni « Pendo »,
kulijua hakika
Kunafanya safari
nyepesi. Mimi mtu
zaifu, Ila kwako
ni nguvu; Niongoze
katika safari !
 
4 Mbele ya uso wako
Giza yote yatoka;
Nuru inaangaa moyoni.
Yamepita ya kale,
Sasa yote ni
mapya. Ni maisha
ya heri ajabu !