KUNA MJI HUKO JUU
130
Wokovu No 701 Kuna mji huko juu
Umejengwa naye
Mungu, Humo kuna
mto ‘moja Wenye
maji mazima kabisa.
Tutakusanyika huko
Kwa raha penye
mto mwema sana,
Tutakusantika na
wakristo Penye mto
wa maji mazima.
2 Huko pwani nchi
nzuri, Bila zambi
na huzuni, Tutaimba
wimbo mpya, Nyimbo
nzuri ’kusifu Mwokozi.
3 Kama twamwamini Yesu,
Kama hatufichi zambi,
Kama moyo ni
mweupe, Tutafika
mtono pa mbingu.
4 Tu karibu ya kufika
Na kuona mto
ule, Mungu
atatupa raha na
kutustarehesha daima.