SIKU YA KUISIKIA
111
.1 Siku ya kuisikia
Baragumu yake Mungu
itwitapo wote mbele
yake mbio. Asomapo
Mungu yote ku kitabu
cha uzima. Liitwapo
kila jina, langu, lako?
Liitwapo kila jina (x4)
lango, lako ?
2 Twaonapo watu wote
wa Masiya wa’fufuka,
Na walio hai wote
wa’geuka. Wapendapo
wote kumukuta Bwana
yetu juu. Liitwapo kila
jina, langu, lako ?
3 Sasa hapa bado kufa
L’atupasa tuandikwe,
Kwani kufa kunafunga
manafasi. Tuandikwe
sasa hivi, Kwani siku
ni karibu. Liitwapo kila
jina, langu, lako ?