SIKILIZENI WAIMBA
110
.
1 Sikilizeni waimba
Katikati ya usiku.
Mwokozi amezaliwa,
Katika zizi la ngombe.
 
Kujeni (x2)
Tufurahi wote.
Kujeni (x2).
Mwokozi amezaliwa.
 
2 Wachungaji wa kondoo,
walipochunga kondoo,
Na malaika wa mbingu,
akawatokea pale.
 
3 Na wewe uliye hapa,
Ujitazame moyoni.
Mwokozi amezaliwa.
Unamupokea leo ?