<
Uchakulifu wa Nyimbo
99
>
SHARTI WATU WAJUE
99
.
Sharti watu wajue(x3)
Yesu Kristo
Mutamu wa elfu
elfu Yesu Kristo
Mwokozi Yeye
Bwana ya ma Bwana
Mfalme wa wafalme
Sharti wajue(x3)
Yesu Kristo