NAIMBA REHEMA ZA MUNGU
98
.
Naimba rehema za
mungu, milele
'Naimba, 'Naimba.
'Naimba rehema
za Mungu milele,
'Naimba rehema
za Mungu. Kwa
kinywa ninasema:
"Mwaminifu, Mwaminifu."
Kwa kinywa ninasema:
"Mwaminifu kwa watu
wote." 'Naimba rehema
za Mungu milele,
'Naimba rehema za Mungu.