DUNIA NI YA SHIDA NA TAABU
67
.1 Dunia ni ya shida
na taabu, Tena hapa
ni fasi ya mateso.
Washindaji watamuona
Mwokozi, Na kuhamishwa
kwake mbinguni salama.
Ee ! Bwana !
'Nakuomba kwako !
Majaribu yanizunguuka.
'Nishike mikononi mwako,
Nifike mbinguni salama.
2 Watu wengi wa’danganyika,
Wakisema nimejaribiwa.
Hawakumbuke mwili
wao wote, Umejaa
majaribu tele.
3 Macho yangu yatazama
vyote. Ulimi wangu
wapenda kusema, Miguu
yangu yatembea mbio,
Mikono yangu yashika upesi.