BWANA YESU ATASHUKA
64
.1 Bwana Yesu atashuka
mbingu, Na sauti
ya wamalaika (x2).
Lakini wewe muovu,
ujue kama utaenda wapi.
Itakuwa furaha kubwa,
Kwa wale wataenda
na Mwokozi.
2 Waliokufa katika Bwana.
Watafufuliwa kwanza (x2).
3 Kama sisi tulio hai,
Tutachukuliwa mbingu (x2).
4 Furaha ya wenye zambi,
Itageuka kuwa mauti (x2)
5 Furaha ya waaminio,
Kwani watamuona Mungu (x2)