DAMU YA YESU
52
.
1 Damu ya Yesu (x3),
Usafisho wa zambi.
 
Mbinguni tutaimba aleluya (x3),
Asifiwe Mwokozi
 
2 Yesu ni Mufalme wa Wafalme (x3),
Asifiwe Mwokozi.
 
3 Nguvu za Shetani zitakwisha (x3),
Asifiwe Mwokozi.
 
4 Shetani atatupwa Gerezani (x3),
Asifiwe Mwokozi.
 
5 Tutavikwa taji la uzima (x3),
Asifiwe Mwokozi.