EE NINAFURAHI LEO
51
.
1 Yesu Mwokozi alinifia
ku musalaba zamani,
Alisamehe makosa yangu,
Ee ninafurahi.
 
Ee ninafurahi leo,
Ee ninafurahi.
Bwana Yesu aliokoa
mimi, Ee ninafurahi.
 
2 Yesu Mwokozi uzima
wangu, Aliishinda mauti,
Alifufuka kwa siku tatu,
Ee ninafurahi.
 
3 Yesu Mwokozi weupe
wangu, Alinitosha ku giza,
Ninatembea ku nuru sasa.
Ee ninafurahi.
 
4 Yesu Mwokozi atakaporudi,
nitamuona mbinguni,
Nitaikaa milele naye,
Ee ninafurahi.