NAKUITAJI YESU
108
.
1 Naluitaji Yesu Mwokozi
wangu mwema.
Sauti yako nzuri,
iniletee raha.
 
Nakuhitaji, Yesu,
Muchana na usiku.
Unibariki sasa,
Ninakukaribia.
 
2 Nakuhitaji, Yesu,
Unionyeshennjia! Na
unitimizienahadinza
neema!
 
3 Nakuhitaji, Yesu,
Uwe karibu name,
Nipate kulishinda
Jaribu la Shetani.
 
4 Nakuhitaji, Yesu,
katika mambo yote,
Kwa kuwa bila Wewe
Maisha hayafai.
 
5 Nakuhitaji, Yesu,
Njiani huku chini,
Nipate kuwa kwako
Milele na milele.