MASHINDANO YA MAISHA
105
.
1 Mashindano ya Maisha
ya kupata sura nzuri,
Wote wawasaidie wote
tena. Wote wanafuata
mwisho ya kupata mbele,
Sawa na furaha
ifikapo mwezi.
 
Tutanguliane nguvu,
kwa sababu ya dalili,
Apitae mbele sana,
Amusaidie mwenzi,
Asubutu na uwezo wake vile.
 
2 Tuna vitu vyote vyema
na maneno yote mema,
Nao wote wema watusaidie.
Ulimwengu umejaa nayo
maishara mengi. Nao
wake Mungu ni
tayari kwetu.
 
3 Na uhai na mauti,
na kuwaza na kulala,
Na kucheza na kutenda.
Na vitabu na habari,
na mwalimu na sheria,
ni maana vyote vitimie pia.
 
4 Watu wa dunia
wanakwenda mbio sana,
Na wanaachwa mbali
sana, Tunashurulika
leo, tujikaze kwenda
mbio. Tupashike petu
mbele ya dunia.
 
5 tushirikiane wote,
kwa kupanda juu mbio.
Tuyakaze macho kwake
Yesu peke. Tuikae
chini hapa, na
tufuate juu pia,
Tufahamu wazi
Mungu yupo nasi.