ATAKUJA SIKU MOJA
74
.
1 Atakuja siku moja,
Achukue tupambo,
Twote bei, na tuzuri,
Ni twake mwenyewe.
 
Sawa nyota asubuhi,
Watu wote wa Yesu,
Watangaa ku taji
la Bwana milele.
 
2 Akusanya siku ile,
Watu wawe tupambo.
Wasafike, watakaswe,
Wapate furaha.
 
3 Washindao kwa imani,
Ni tupambo twa Bwana,
Kwani Bwana ni Mwokozi,
Alituokoa.