SIKU MOJA MAVUNO
72
.1 Siku moja mavuno
yataisha kabisa, Baada
ya hayo hukumu. Jua
litazimika siku hiyo ya
mwisho, Na hutasikia Injili.
Atakusanya ngano
kwa furaha ghalani,
Bali makapi yote
yatatupwa motoni.
Rafiki, utakuwa wapi?
2 Mahubiri na nyimbo
za wokovu wa Mungu,
Zitakaponyamaza huku.
Uliyelikataa Neno zuri
la Mungu, Utakaa wapi milele?
3 Watu wote wa Mungu
wafikapo mbinguni,
Kukaa pamoja na Yesu.
Wataimba kabisa kwa sauti
ya nguvu kumushangilia Mwokozi.