UKITAKIA KUACHA MABAYA
54
.
1 Ukitakia kuacha mabaya,
Kuna nguvu kwa damu,
damu ya Yesu. Na
kuziacha tamaa za
mwili, Kuna nguvu
kwa damu ya Yesu.
 
Kuna nguvu, nguvu,
nguvu ya kushinda,
Kwa damu yake,
Masiya Yesu.
Kuna nguvu, nguvu,
nguvu ya kushinda,
Kwa damu yake
Yesu Mwokozi.
 
2 Ukitakia kushinda Shetani,
Kuna nguvu kwa damu,
damu ya Yesu. Na
kujongea karibu na
Yesu, Kuna nguvu kwa
damu ya Yesu.
 
3 Ukitakia kumuandamia,
Kuna nguvu kwa damu,
damu ya Yesu. Na
kuyafanya mapenzi
ya Mungu, Kuna nguvu
kwa damu ya Yesu.
 
4 Ukitakia kumutumikia,
Kuna nguvu kwa damu,
damu ya Yesu. Na
kuhubiri maneno ya
Mungu, Kuna nguvu
kwa damu ya Yesu.
 
6 Ukitakia kupamba matunda,
Kuna nguvu kwa damu,
damu ya Yesu. Na kuongoza
wengine kwa Yesu, Kuna
nguvu kwa damu ya Yesu.
 
7 Ukitakia kufika mbinguni,
Kuna nguvu kwa damu,
damu ya Yesu. Na kuikaa
pamoja na Yesu, Kuna
nguvu kwa damu ya Yesu.