TUTAMWIMBIA MUNGU NA FURAHA
35
. 1 Tutamwimbia Mungu
na Furaha, Kwa sababu
alishinda Shetani.
Na furaha punda
zote za Farao,
Walizozipanda,
Wote wakafa.
Kule ngambo walivuka
na furaha,
Walipomwimbia wimbo
wa furaha.
2 'Gari zote askari
kwa kupita, Wale wote
waangamizwa majini,
Wale wote washujaa
wa Farao, wote pia
waangamizwa majini.
3 Hapo maji yalipokutana
tena, Wale wote
waangamizwa majini.
Walipotoweka huko
baharini. Wakaanza
kusaga meno kwa mawe.
4 Kwa mukono wa
kuume wa Mungu,
Umejaa neema na
mwangaza. Tena mukono
wa kuume wa Mungu,
Utakaotuondosha motoni.
5 Wanawake waliimba
kwa furaha, Wakapiga
vinumbi kwa furaha.
Wanaume waliimba kwa
furaha, Wakapiga
vinumbi kwa furaha.
Na Nabii Miriamo
akasema, Tusifuni
Mungu wetu kwa furaha.